
Campus Events
Stay updated with the latest events from Kampala International University in Tanzania.

Building Youth Talk Project (BUYTP)
Date: Saturday, January 24, 2026
Location: KIUT
Category: Clubs
Overview
Heri ya Siku ya Elimu Kimataifa!
Kampala International University in Tanzania (KIUT), kwa kushirikiana na Capacity Building for Youth Organization, inaadhimisha siku hii muhimu kupitia Building Youth Talk Project (BUYP), jukwaa la kuwawezesha vijana wa vyuo vikuu kwa maarifa, ubunifu na fursa za kidijitali.
Walengwa: Vijana wa vyuo vikuu
Vipengele vya programu:
1. Uzinduzi rasmi wa mradi (Dar es Salaam)
2. Uwasilishaji wa mfumo wa kidijitali wa uendeshaji wa shirika kupitia App
3. Fursa za kujiunga na uanachama kwa njia ya kidijitali bila usumbufu
Stand-up comedy itakuwepo
Chakula cha asubuhi na mchana bila malipo
Mahali: KIUT
Tarehe: Ijumaa, 24 Januari 2026
Muda: Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana
Jiunge nasi kusherehekea elimu kama chachu ya maendeleo na uwezeshaji wa vijana. Elimu ni msingi wa mabadiliko ya kweli.
#campuslife #studentslife #capacitybuilding #kiut



