
Campus Events
Stay updated with the latest events from Kampala International University in Tanzania.

Sports Bonanza - Kiut & Halotel
UpcomingDate & Time: —
Location: Kiut Sports Ground
Category: Sports
Overview
TUNAKUKARIBISHA KWENYE SPORTS BONANZA - KIUT & HALOTEL
Kampala International University in Tanzania (KIUT) kwa kushirikiana na Halotel Tanzania, tunayo furaha kuwaalika wanafunzi na wafanyakazi wote kwenye Halotel 5G Sports Bonanza, Ijumma hii ya tarehe 30 Januari 2026 kuanzia saa 8:30 machan katika viwanja vyetu vya michezo.
Ni siku maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya michezo, afya, kusikia habari njema kutoka halotel, na kujenga mahusiano.
Michezo itakayokuwepo: ✅ Soka na Mpira wa Wavu ✅ Kuvuta Kamba ✅ Kukimbiza Kuku na Mashindano ya Gunia.
Zawadi mbalimbali zimetengwa kwa ajili ya washindi na washiriki bora.
Halotel 5G imefika na inakuja karibu yako. Usikose fursa hii ya kujumuika nasi na kujua kwanini "Spidi ni Mambo Yao!".
#KIUTSports #HalotelBonanza #Tanzania #ElimuNaMichezo #KIUTEvents
More "Sports" Events

Makutano Swahili Friday Night Show
—
.jpg&w=1200&q=75)
Old School Edutainment Show
—

Christmas Carols
Dec 21, 2025, 03:00 PM - Dec 12, 2025, 06:00 PM

TUSA Sports and Games Competitions 2025
—
.jpeg&w=1200&q=75)
Evening Friendly Match
—

The Return of the Entertainment Titans
—

Karaoke Night
—

Welcome First Year 2026 Intake
—

Mlinde Heatlh Bonanza
—
.jpeg&w=1200&q=75)
Pre-Valentines Day Friday
—

Tanzania University Sports Association (TUSA) 2025 Tournament!
—

Mapinduzi Beach Volleyball 2026 Tournament
—

TAFFA Awards Celebration & Appreciation – Friday Night Show
Feb 20, 2026, 07:00 PM - 09:00 PM

Next Episode Loading....
Feb 27, 2026, 08:00 AM - 06:00 PM
.jpeg&w=1200&q=75)
DAREVA League 2026
Feb 28, 2026, 08:00 AM - 07:00 PM

Game Day is Here! KIUT 🆚 TZ Airforce
Mar 22, 2026, 11:00 AM - 06:00 PM

Sports Day
Mar 7, 2026, 06:00 AM - 06:00 PM